HadithiZetuCreator

Andika na Uza Bidhaa za kiDigitali.

HadithiZetu Creator — mapato yakoHadithiZetu — hadithi za premium

Andika na Uza Bidhaa za kiDigitali kwa Urahisi.

Pakia hadithi, sauti, au maudhui yoyote ya kidijitali — weka bei, ushiriki, na upate mapato papo hapo. Payout kuanzia BUKU TU.

Premium Hadithi Audio Products YouTube Malipo ya Haraka

Mobile money TZ · Kadi Duniani Kote

Download on the App StoreGet it on Google Play

50+

Waandishi

500+

Bidhaa Zilizochapishwa

Tsh 1,000/-

Payout ya Chini

100%

Malipo ya Haraka

Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua Tatu za Kuanza Kupata Mapato

01

Andika au Pakia

Unda hadithi ya maandishi, sauti, au PDF. Weka bei yako mwenyewe.

02

Mashabiki Wananunua

Wasomaji hulipa kwa simu moja kwa moja. Malipo yanaingizwa haraka.

03

Pata Mapato

Omba payout yako wakati wowote. Kuanzia buku tu kwenye simu yako.

Unganisha YouTube Channel Yako

Onyesha video zako kwenye ukurasa wako wa umma. Wasomaji wanaweza kugundua maudhui yako ya YouTube moja kwa moja — bila kutoka kwenye HadithiZetu.

Onyesha au uficha video kwa kubonyeza kitufe kimoja Chagua video gani za kupiga pin kwenye profile Auto-show latest au pinned videos
Bure Kuanza

Anza Kupata Mapato
kutoka kwa Uandishi Wako.

Jiunge na maelfu ya waandishi wa Tanzania wanaotumia HadithiZetu kupata mapato ya kudumu.

Contact Us